|
sako
|
posted 5/7/08 12:45 AM
sidhani kwa utaratibu huo wa kulaumu watumishi ni vyema hata machoni pako wewe mwenyewe. nimekuwa nikitembelea website na blogu nyingi za kikristo kama http://sayuni.blogspot.com lakini hawafanyi kama unavyofanya wewe japo wapo critics pia but not to that extent.
|