Return To Message Board
Author Topic:   umepotoka
ceciliam37@hotmail.com posted 12/1/04 12:21 AM    
Munishi naomba usiwachanganye watu waliokuamini kama mtumishi wa Mungu.Hebu tumia website zako kutangaza injili utaona ambavyo watu watakavyokujaza mapesa unayoyataka uyapate kwa siasa.Naelewa shetani kakufunga kwa nira ngumu unahitaji msaada wa waombezi na nguvu kubwa toka kwa kristo ili utambue na kunasuka huko uliko.Naomba usinikashfu maana hiyo ndiyo staili yako ya kujibu email/message za watu wanaochangia mada zako.
Munishi
(Moderator)
posted 12/1/04 3:48 PM    
Sawa. Huo ni mtizamo wako, ambao unahitaji maelezo kutoka kwangu. Mimi sijaacha kuihubiri Injili. Kama kuna wakati ninapoihubiri injili kwa ujasiri ni sasa. Kukemea, Kukaripia, Kuonya na kufundisha, ni sehemu ya injili. Kuombea wengine pia ni INJILI.Sasa nimekjosea wapi kuwakemea kina Mkapa wauaji, wezi wa mali za umma? Unataka niwaombee? Hawajakubali makosa yao na kutubu. wakifanya hivyo nitawaombea. Uniombee nipate ujasiri wa kuwakemea hasa wale wanaomwabudu Marehemu Nyerere. Alifanya mazuri kwa mtizamo wako, wacha tuseme mabaya yake kwa mitizamo yetu tulio wengi. Ikiwa hamtaki kuyasikia mabaya yake, kwa nini mtuambie mazuri yake? Acheni unafiki.
cecilia posted 12/2/04 10:44 AM    
Ina maana wewe upo kugombana na marehemu??????????Maana wewe umekazania kuhusu mabaya ya Nyerere.Huoni kwamba waliopo sasa hivi sio Nyerere na hata kama watakujibu watakujibu kama wao sio kama Nyerere.Hebu tengeneza sera zenye uhai achana mambo ya sera za mizuka kama unataka kuingia kwenye siasa maana tayari inaonyesha dini imeshakushinda!Karibu kwenye kazi uongo mwingi (Siasa).
Janet posted 9/5/06 4:52 PM    
We mtoto. Huna adabu. Tanzania iliharibiwa na sera mbovu za ujamaa alizoleta Nyerere.CCM ALIANZISHA NYERERE NA ndicho chama kinachotawala hadi sasa. Hakuna mabadiliko Tanzania bila CCM kutoka madarakani. Hata kama wanaotawala siyo Nyerere, lakini wanatumia sera mbovu za CCM chama cha majambazi. Unaonaje we mtoto??? tuwasifu majambazi????????
Return To Message Board

http://munishi.com  | Post New Topic