Return To Message Board
Author Topic:   UKUMBI MPYA
Munishi posted 11/3/04 2:39 PM    
Jamani kuna ukumbi ambao Mkapa na serikali yake waliufunga, lakini Mungu asifiwe kwani posti zake zote zilihifadhiwa salama hapa munishi.com. Sasa unaweza kufaidika na yote yaliyokuwa yakijadiliwa hapo. Bonyeza hapa. http://www.munishi.com/mijadala.htm
Uwazi posted 11/4/04 3:22 PM    
Tunashukuru kwa kutuletea sehemu ya post zetu kutoka BCSTIMES iliyofungwa. Mimi na wengine wengi tulikuwa wanachama katika ukumbi huo na tulichangia mengi sana. Tulishangaa kuona BCSTIMES FORUM imefungwa bila hata kujulishwa sisi wanachama. Kumbe ni Serikali iliwafungia? Kweli Tanzania tuna mengi mbele yetu.
Return To Message Board

http://munishi.com  | Post New Topic